Saadani is the only.animal reserve near cost of Indian ocean,it located in the middle of two regions in Tanzania. These regions are Tanga and Pwani,also there are coastal forest with a lot of animals from water and land such as Lion,girrafe,hippo and flamingosm . There is large river called Wami in this animal reserve with alot of animal like hippo and crocodile.
JUNGLE IN THE COAST
SWAHILI
Saadan ni hifadhi ya wanyama pekee iliyo katika pwani ya bahari ya hindi,inapatikana katikati ya mikoa miwili ya Tanzania. Hii mikoa ni Tanga na pwani,pia kuna misitu ya pwani yenye wanyama wengi kutoka majini na nchi kavu kama vile simba,twiga,kiboko na korongo. Kun mtu mkubwa unaoitwa wami ukiwa na wanyama kama kiboko na mamba...
PORI KATIKA UFUKWE.
0 maoni:
Chapisha Maoni